Simba SC

SIMBA WATIA TIMU MOROCCO KWA AJILI YA KAMBI

admin August 11, 2021 5:44 pm


KIKOSI cha Simba kimewasili salama Morocco ambapo kimekwenda huko kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22.

Mabingwa hao watetezi walisepa ardhi ya Tanzania jana Agosti 10 na waliweka kambi kwa muda Dubai kabla ya leo kuendelea na safari kuelekea Morocco. 

Wakati wa kuripoti kambini ni Jonas Mkude ambaye alisimamishwa kutokana na utomvu wa nidhamu alikuwa miongoni mwa wachezaji wa mwanzo kuripoti kambini.

Kwa mujibu wa Kocha Mkuu, Didier Gomes amesema kuwa maandalizi watakayofanya yatakuwa na matokeo chanya katika msimu ujao.

Pia yupo mfungaji pekee aliyepachika bao ma ushindi katika mchezo wa Kombea Shirikisho kwenye fainali dhidi ya Yanga, Taddeo Lwanga. 

ACHANA NA BILIONI 20..,HAPA TU NDIPO MO DEWJI ALIPOWASHIKA SIMBA SC UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply