video
VIDEO: REKODI ZA KIUNGO WA YANGA AUCHO NI ZA KIBABE
YANGA imekamilisha usajili wa kiungo, Khalid Aucho, hapa ni rekodi zake ambazo zinaonekana kuwa ni bora akiwa ndani ya uwanja. Dili lake likijibu uwanjani atakuwa ni tegemeo mambo yakiwa tofauti atakuwa na kazi ya kufanya ili kuwa bora zaidi msimu wa 2021/22.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.