Yanga SC

BREAKING: YANGA YATAMBULISHA MAJEMBE MAWILI, YUPO MRITHI WA KISINDA

admin August 13, 2021 12:43 pm



UONGOZI wa Yanga leo Agosti 13 umewatambulisha nyota wao wawili ambao watakuwa ndani ya kikoi hicho kwa msimu wa 2021/22.


Djuma ni beki ambaye anapewa nafasi ya kufanya vizuri msimu ujao kwa kuwa uzoefu wake unambeba na amecheza timu kubwa ya AS Vita ya Congo. 

Ni Shaban Djuma ingizo jipya kutoka AS Vita pamoja na Jesus Moloko.

Moloko anakuwa mbadala wa Tuisila Kisinda ambaye anakwenda kujiunga na Klabu ya RS Berkane ya Morocco.

Moloko amebainisha kuwa hajawahi kufeli katika kazi ambazo huwa anafanya hivyo anaamini kwamba atafanya vizuri ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.


LWANGA AMKATAA MKUDE KIAINA..AFUNGUKA KUHUSU MGUU WAKE TEGETE:TUMUOMBEE MAKAMBO, SIMBA NA YANGA MECHI ZOTE PRESHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply