video

TEGETE:TUMUOMBEE MAKAMBO, SIMBA NA YANGA MECHI ZOTE PRESHA

admin August 13, 2021 12:43 pm

NYOTA wa zamani wa Yanga, Jerson Tegete amesema kuwa usajili ambao unafanywa ndani ya Yanga kwa sasa upo vizuri hivyo kikubwa ambacho kinatakiwa ni kufuata maneno ya kocha. 


Pia amefurahishwa na tuzo ya kiatu bora kuwa kwa mzawa ambaye ni John Bocco. Kuhusu Heritier Makambo amesema kuwa anapaswa kuombewa kwa kuwa Yanga ipo kwenye presha kubwa ya kusaka ubingwa, amesema kuwa Simba na Yanga ni tofauti na timu nyingine.

 

BREAKING: YANGA YATAMBULISHA MAJEMBE MAWILI, YUPO MRITHI WA KISINDA KUELEKEA MSIMU MPYA..SIMBA WAKATAA MECHI DHIDI YA YANGA..SABABU HIZI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply