kimataifa

LUKAKU ACHEKELEA KURUDI CHELSEA

admin August 13, 2021 5:43 am


 MSHAMBULIAJI Romelu Lukaku raia wa Ubelgiji amesema kuwa anafuraha ya kurudi ndani ya kikosi cha Chelsea ambapo atakuwa hapo kwa msimu ujao ndani ya Ligi Kuu England.

 Lukaku amerejea ndani ya Chelsea baada ya kuyeyusha miaka 10 kwa kuwa alisepa hapo mwaka 2014 na dau lake la usajili ni pauni milioni 97.5 akitokea Inter Milan.

Amesaini dili la miaka mitano kwa ajili ya kuwa ndani ya Stamford Bridge huku akiweka wazi kwamba anafuraha ya kurejea hapo.

“Ninafuraha kurudi hapa, nilikuwa ninaisapoti Chelsea tangu nikiwa mdogo na sasa nimerejea ninafurahi sana,” .

HIZI HAPA SABABU ZA BEKI MPYA WA SIMBA HENOC ‘VARANE’ KUSEPA BONGO VIDEO:NYOTA WATATU WAPYA WA YANGA KUTUA LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply