Home video VIDEO:NYOTA WATATU WAPYA WA YANGA KUTUA LEO video VIDEO:NYOTA WATATU WAPYA WA YANGA KUTUA LEO By admin - August 13, 2021 0 LEO Ijumaa nyota watatu wa Yanga wanatarajiwa kutua kwa ajili ya kujiunga na kikosi hicho ambacho kinahesabu za kukwea pipa kueleka Morocco kwa maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22.