News

MTAMBO WA MABAO WASAINI BIASHARA UNITED, BEKI PIA NDANI

admin August 13, 2021 1:44 pm


MTAMBO wa mabao ndani ya Biashara United bado upo baada ya kuongeza kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Ni Ramadhan Chombo,’Redondo ambaye alikuwa ni mtengeneza mipango namba moja ndani ya Biashara United. 

Kwa msimu uliopita wa 2020/21 ikiwa imetupia mabao 28 katika mechi 34 alihusika katika mabao 13, alifunga manne na kutoa pasi 9.

Leo Agosti 13 ametangazwa kuongeza mkataba kwa ajili ya msimu wa 2021/22 ambapo zoezi limesimamiwa na Katibu Mkuu Haji Mtete.

Mbali na Redondo pia imemuongezea kandarasi beki Mpapi Nasibu ambaye naye alikuwa na kikosi hicho msimu uliopita na ana uhakika wa kushiriki mashindano ya kimataifa msimu huu.


KUELEKEA MSIMU MPYA..SIMBA WAKATAA MECHI DHIDI YA YANGA..SABABU HIZI HAPA MSHAHARA MPYA WA CHAMA HUKO MOROCCO KUFURU..SIMBA WAFUNGUKA WATAKAVYONUFAIKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply