Home video VIDEO:NYOTA WATATU WAPYA WA YANGA KUTUA LEO

VIDEO:NYOTA WATATU WAPYA WA YANGA KUTUA LEO

LEO Ijumaa nyota watatu wa Yanga wanatarajiwa kutua kwa ajili ya kujiunga na kikosi hicho ambacho kinahesabu za kukwea pipa kueleka Morocco kwa maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: RATIBA YA LIGI KUU BARA IPO NAMNA HII, MECHI 15 NYUMBANI NA UGENINI