video

ISHU YA NUGAZ KURUDI YANGA IPO HIVI, MANARA HANA TATIZO NAYE

admin September 28, 2021 7:43 am


HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amebainisha kuwa hana tatizo na kufanya kazi na mtu yoyote ndani ya Yanga ila jambo kubwa liwe kwa ajili ya maslahi ya Yanga.


 Ameweka wazi kuwa alikuwa anapenda kufanya kazi na kila mtu aliyemkuta ndani ya Yanga hivyo hahusiki na kuondoka kwa mtu ikiwa ni pamoja na Antonio Nugaz ambaye alikuwa ni Ofisa Uhamasishaji kabla ya mkataba wake kuisha na ulipoisha hakuongezewa dili jipya.

 Manara amesema kuwa yupo tayari kufanya kazi na mtu yoyote hana tatizo. 

 

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO SEPTEMBA 28 KIBU..BOCCO..KAGERA WAPEWA MAZOEZI MAALUMU SIMBA..MUGALU AWEKWA KANDO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply