Home video VIDEO:SIMBA YAMTAMBULISHA NYOTA MPYA video VIDEO:SIMBA YAMTAMBULISHA NYOTA MPYA By admin - August 13, 2021 436 0 LEO kikosi cha Simba kimemtambulisha nyota mpya kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22 ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ni winga mwenye uwezo wa kucheza winga ya kulia na ile ya kushoto ni raia wa Malawi.