video

VIDEO: INGIZO JIPYA NDANI YA SIMBA LINAAMINI KWAMBA MAKOMBE YATAONGEZEKA

admin August 17, 2021 7:43 pm

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba kutoka Kagera Sugar, Abdul Swamad amesema kuwa anaamini kwamba baada ya kutua hapo makombe yataongezeka zaidi.


Simba ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Kombe la Shirikisho ikiwa ni mataji waliyoyatwaa msimu wa 2020/21.

 Nyota huyo ametambulishwa rasmi leo Agosti 17 ndani ya Simba kwa kusaini dili la miaka mitatu na atadumu hapo mpaka msimu wa 2024 kupambana ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes.

 

VIDEO:BATTEL YA TADDEO LWANGA V KHALID AUCHO NI NOMA NYOTA WA YANGA AMISS TAMBWE KURUDI BONGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply