video
VIDEO:BATTEL YA TADDEO LWANGA V KHALID AUCHO NI NOMA
BAADA ya Simba kukamilisha usajili wa Taddeo Lwanga kwa upande wa kiungo mkabaji kuna ingizo jipya ndani ya Yanga ambaye naye ni kiungo Khalid Aucho wote hawa ni viungo kutoka nchini Uganda na kwa sasa wapo na timu zao kambini nchini Morocco.
Hizi hapa rekodi za nyota hao ambao wanachambuliwa kwa takwimu.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.