Taifa Stars

ILE ISHU YA KOCHA MPYA WA TAIFA STARS KUTOKA MOROCCO…UKWELI WA MAMBO UKO HIVI

admin August 19, 2021 5:00 pm


Shirikisho la soka nchini TFF limekanusha taarifa za kuachana na Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Taifa Stars Kim Polusen na kumuajiri Jamal Sellami, kutoka nchini Morocco.

TFF wametoa taarifa inayoeleza kuwa, Kim Poulsen bado ni Kocha Mkuu wa Taifa Stars, na wameshangazwa kuibuka kwa taarifa za kuondolewa kwa kocha huyo kutokla nchini Denmark.

Taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zilieleza kuwa, TFF wameachana na Kim Poulsen na kuingia mkataba ba Kocha Sellami ambaye kwa sasa ni Kocha Mkuu wa klabu ya Raja Casablanca.


KUHUSU MAENDELEO YA KAMBI MOROCCO NA JEZI MPYA…SIMBA SC WAFUNGUKA HAYA JAY JAY OKOCHA ANATAJWA KUWA MCHEZAJI BORA AFRIKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply