Home Simba SC KAMBI ya SIMBA MOROCCO HATARI, KAMA ULAYA, VIWANJA VYAKE SHIDA!

KAMBI ya SIMBA MOROCCO HATARI, KAMA ULAYA, VIWANJA VYAKE SHIDA!

0

 

Simba imejichimbia katika hoteli ya Dawliz Resort & Spa, ambayo kwa siku moja chumba cha watu wawili unatakiwa kulipa si chini ya Sh390,000.