Azam FC

AZAM FC KAMILI GADO KWA MSIMU UJAO

admin August 20, 2021 2:43 pm


KIKOSI cha Azam FC kinaendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kwa msimu wa 2021/22 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ameweka wazi kwamba kila kitu kipo sawa na wanahitaji kufanya vizuri.

“Tupo tayari kwa ajili ya msimu mpya na tuna amini kwamba tutafanya vizuri hivyo mashabiki watupe sapoti,”.

Msimu uliopita wa 2020/21 Azam FC ilimaliza ikiwa nafasi ya tatu na pointi 68.

YANGA; TUNAJUKUMU LA KUONYESHA UKUBWA WETU, JEZI YA MSIMU HUU KALI RASMI, SIMBA YAINASA SAINI YA KIUNGO KUTOKA MALI KWA TSH MILIONI 300

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply