video

YANGA; TUNAJUKUMU LA KUONYESHA UKUBWA WETU, JEZI YA MSIMU HUU KALI

admin August 20, 2021 2:43 pm


UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kuelekea kwenye wiki la Mwananchi ni lazima kila mmoja ajitolee kwa hali na mali ili kukamilisha jambo hilo.

 
Kaimu Katibu wa Yanga, Haji Mfikirwa amebainisha kwamba mipango inakwenda sawa na kikubwa ni kuona mashabiki wa Yanga wanatoa sapoti ili kuweza kuonyesha ukubwa wa timu hiyo.

 Ni Agosti 29 inatarajiwa kuwa kilele cha wiki ya Mwananchi, Dar, Uwanja wa Mkapa kesho Agosti 22 inatarajiwa kuanza kwa mashabiki wa Zanzibar. Timu kwa sasa ipo kambini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2020/21. 

 

HIVI NDIVYO CAF WALIVYOITAJIRISHA SIMBA…WAJAZWA BILIONI 6.7 KWA SIKU 1,460 AZAM FC KAMILI GADO KWA MSIMU UJAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply