video

VIDEO: TEGETE AWACHANA SINZA STARS,TABATA WAKIRI KUWA NI MABISHOO

admin August 24, 2021 1:43 pm

NAHODHA wa Tabata All Stars, Jerry Tegete amesema kuwa wapinzani wao Sinza hawawatishi hivyo wao walipambana na kuweza kushinda kwenye mchezo wao wa Nusu fainali ya Ndondo Cup huku wakiwa na kauli mbio kwamba hawafagilii na yeyote ambaye atakuja kufanya mazoezi wanafanya nao kazi na kuwaasa vijana wasikate tamaa.

KUWAONA WACONGO WA YANGA PAMOJA NA KOFFI WAKICHEZA KIINGILIONI NI TSH 200, 000 KIGOGO SIMBA AFUNGUKA ISHU YA SIMBA DAY KUFANYIKA NNJE YA TANZANIA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply