video

VIDEO: YANGA YATOA TAMKO ISHU YA SAKATA LA MORRISON, JEZI MPYA KALI

admin August 25, 2021 3:48 pm

KAIMU Katibu wa Yanga, Haji Mfikirwa amesema kuwa timu yao ilikuwa kwenye kambi bora nchini Morocco na ishu ya kureja kwao Tanzania haina maana kwamba wameshindwa lakini waliamua kufanya hivyo kwa kuwa wametoa wachezaji wengi kwenye timu za taifa hivyo kwa sasa wanaendelea na mazoezi Kigamboni. 


Kuhusu ishu ya kesi ya Morrison ambayo ilipaswa kutolewa hukumu na Mahakama ya Usuluhishi, (Cas) jana amesema kuwa bado hawajapewa taarifa hivyo wanasubiri kuona lini watajibwa.

 

VIDEO: KAZI YA KWANZA YA HAJI MANARA YANGA, APIGA MKWARA WINGA SIMBA KUIBUKIA RUVU SHOOTING

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply