Yanga SC

KOFFI OLOMIDE AWASILI BONGO, APOKELEWA NA HAJI MANARA

admin August 28, 2021 1:43 pm

 


MWANAMUZIKI nyota wa dansi kutoka nchini DRC-Kongo, Koffi Olomide leo Agosti 28, 2021 ametua nchini  kunogesha kilele cha Wiki ya Wananchi kitakazofanyika kesho Jumapili Agosti 29 katika Uwanja wa Mkapa.

 

Koffi amepokelewa na Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara na mashabiki wa timu hiyo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

 

Yanga kupitia wadhamini wao GSM ndio waliomleta Koffi ambaye awali inadaiwa alikuwa aje katika kilele cha watani wao Simba katika Simba Day.


VIDEO: MORRISON AMTOLEA UVIVU HAJI MANARA RAGE ATOA POVU KUUZWA KWA MIQUISSONE NA CHAMA,..AMTAJA OKWI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply