Yanga SC

MZEE WA KUWAJAZA AANZA KAZI KWA MKAPA

admin August 29, 2021 6:43 pm


 MZEE wa kuwajaza ndani ya kikosi cha Yanga, Heritier Makambo ameanza kuwajaza mashabiki wake Uwanja wa Mkapa.

Leo Agosti 29 timu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi inacheza mchezo wa kirafiki na Zanaco. 

Bao la Heritier Makambo limepachikwa dakika ya 30 kwa shuti kali ndani ya 18 baada ya kulichungulia lango la wapinzani.

Ni pasi ya Feisal Salum kiungo pendwa anayependwa na wazawa pamoja na Ofisa Habari mpya, Haji Manara.

TUZO ZA WACHEZAJI YANGA,ORODHA HII HAPA VIDEO:TAZAMA NAMNA SIMBA WALIVYOWASILI DAR KUTOKA MOROCCO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply