video
VIDEO:TAZAMA NAMNA SIMBA WALIVYOWASILI DAR KUTOKA MOROCCO
KIKOSI cha Simba leo Agosti 29 kimereja Tanzania baada ya kukamilisha mpango wa kwanza wa kambi nchini Morocco ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2021/22.
Baada ya kambi ya Simba kukamilika nchini Morocco kuna mpango wa kambi ya pili itakayotangazwa baada ya wachezaji waliopo kwenye timu za taifa kukamilisha majukumu yao.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.