video
VIDEO: TAZAMA NAMNA MASTAA WA SIMBA WALIVYOWASILI DAR
BAADA ya kukamilisha kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/21 nchini Morocco mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara,Simba jana Agosti 28 walirejea Dar kwa ajili ya kuendelea na maandalizi kwa msimu mpya.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.