video

VIDEO:TAMBWE NINA OFA KIBAO,AZUNGUMZIA ISHU YAKE YA YANGA

admin August 29, 2021 3:43 am

NYOTA wa zamani wa kikosi cha Yanga, Amiss Tambwe ambaye ni mshambuliaji mpya wa Klabu ya DTB amesema kuwa yupo ndani ya timu hiyo kwa inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza na bado hawajafikia muafaka wakifika kwenye makubaliano atasaini ili aweze kuonyesha uwezo wake.


 Amebainisha kwamba kulikuwa na ofa kutoka Oman na Djibout ambapo aliwaambia kwamba wasubiri na uwezo wake ulikuwa mkubwa licha ya kuondoka ndani ya Yanga alishindwa kuonyesha uwezo wake kwa kuwa Mwinyi Zahera alikuwa ana wachezaji wake huku akitaja kuwa machozi ya Zahera ilikuwa n yake mwenyewe. 

 

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI VIDEO: TAZAMA NAMNA MASTAA WA SIMBA WALIVYOWASILI DAR

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply