Home video VIDEO:TAZAMA NAMNA SIMBA WALIVYOWASILI DAR KUTOKA MOROCCO

VIDEO:TAZAMA NAMNA SIMBA WALIVYOWASILI DAR KUTOKA MOROCCO

KIKOSI cha Simba leo Agosti 29 kimereja Tanzania baada ya kukamilisha mpango wa kwanza wa kambi nchini Morocco ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2021/22.


 Baada ya kambi ya Simba kukamilika nchini Morocco kuna mpango wa kambi ya pili itakayotangazwa baada ya wachezaji waliopo kwenye timu za taifa kukamilisha majukumu yao. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MZEE WA MAJENEZA AWAPA SOMO MASHABIKI WA YANGA, KUMUUZA KISINDA JAMBO BAYA