Home news BREAKING: KARIA APITISHWA NA WAJUMBE KUWA RAIS MTEULE WA TFF

BREAKING: KARIA APITISHWA NA WAJUMBE KUWA RAIS MTEULE WA TFF


BREAKING: Wallace Karia amepitishwa na wajumbe wote 81 kuwa Rais mteule wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF).

Karia amepitishwa kwa sababu ni jina lake pekee lilipitishwa katika mchujo wa wagombea ambao walichukua fomu kuwania nafasi hiyo.

Wajumbe walikuwa na kazi ya kuidhinisha jina lake leo Agosti 7 katika uchaguzi ambao unafanyika leo Tanga.

 Kwa mujibu wa ibara ya 19 ya sheria ya uchaguzi ambayo inasema wajumbe watapiga kura za ndiyo au hapana kwa mgombea yeyote ambaye atakuwa peke yake.

Mbali na nafasi ya Urais pia kuna nafasi za Wajumbe ambao wapo 17 hawa watapigiwa kura kutokana na kanda zao ambazo wapo.

SOMA NA HII  SIMBA KUTWA MARA MBILI, WACHEZA MECHI ZA KIRAFIKI