Home Simba SC BREAKING: SIMBA YAMTAMBULISHA MBADALA WA CHAMA

BREAKING: SIMBA YAMTAMBULISHA MBADALA WA CHAMA


BREAKING:KIKOSI cha Simba leo kimemtambulisha nyota mpya ndani ya kikosi hicho Duncan Nyoni kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22.

Ingizo hilo jipya lilikuwa linakipiga ndani ya kikosi cha Silver Striker ya Malawi msimu uliopita hivyo kwa sasa ni mali ya Simba.


Anaungana na wachezaji Paul Peter ambaye ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa huyu ni kiungo akitokea kikosi cha Big Bullets.

Mwingine mwingine ni Yusuph Mhilu ambaye alikuwa ndani ya kikosi cha Kagera Sugar yeye ni mshambuliaji.

Anakuja kuchukua mikoba ya nyota wa Simba, Clatous Chama ambaye atakuwa ndani ya kikosi cha RSB. Berkane ya Morocco.

SOMA NA HII  LUIS MIQUISSONE AINGA ANGA ZA WAARABU WA MISRI, SIMBA YAFUNGUKA