Home Simba SC KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA MSIMU MPYA 2021/22

KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA MSIMU MPYA 2021/22


WAKIWA ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 ni huduma ya nyota wawili ambao mpaka sasa ni uhakika kwamba watawakosa katika kikosi hicho baada ya kupata changamoto mpya.


Ni Luis Miquissone wengi walikuwa wanapenda kumuita Konde Boy pamoja na Clatous Chama wanamuita Mwamba wa Lusaka.

Kutokana na maingizo mapya pamoja na uwepo wa nyota wao wa zamani hiki hapa kinatarajiwa kuwa kikosi cha kwanza cha Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, kwa mujibu wa gazeti la Spoti Xtra:-

Aishi Manula 

Shomari Kapombe 

Mohamed Hussein 

Henock Baka

Joash Onyango

Taddeo Lwanga

Peter Banda 

Rarry Bwalya

Chris Mugalu

John Bocco 

Pape Ousmane Sakho

SOMA NA HII  TWENDE MBELE TURUDI NYUMA...UKWELI MCHUNGU HATA SIMBA BADO HAIJAFANIKIWA..