Home Yanga SC KIUNGO WA UGANDA AUCHO KUMALIZANA NA YANGA

KIUNGO WA UGANDA AUCHO KUMALIZANA NA YANGA


 KIUNGO Khalid Aucho kwa sasa yupo ardhi ya Tanzania ikiwa ni kwa ajili ya kumalizana na mabosi wa Yanga wanaohitaji saini yake.

Kiungo huyo awali alikuwa anapigiwa hesabu na mabosi wa Simba ambao walikuwa wanahitaji kuipata saini yake.

Ameshawasili Tanzania kwa ajili ya kukamilisha mazungumzo na mabosi wa Yanga ikiwa mazungumzo yatakwenda sawa anaweza kupewa dili la miaka miwili.   

SOMA NA HII  KWA HILI BALAA LA AZIZ KI MSIMU HUU KAZI IPO