Home KMC FC KMC NA WAO WAMO BWANA… WASHUSHA KIFAA HIKI MATATA KUTOKA MOROCCO

KMC NA WAO WAMO BWANA… WASHUSHA KIFAA HIKI MATATA KUTOKA MOROCCO


BEKI Nickson Kibabage aliyekuwa akikipiga klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco anatajwa kujiunga na KMC baada ya kumalizana na mabosi zake wa zamani kwa makubaliano ya kuvunjiana mkataba.

Inaelezwa mabosi wa KMC chini ya Katibu Mkuu, Walter Harrison

wamekamilisha dili hilo mapema kwa lengo la kuziba nafasi ya David Bryson aliyetimkia ya Yanga na kusaini mkataba wa miaka miwili.

SOMA NA HII  KMC YATAMBA KUENDELEZA NA PIRA SPANA,PIRA KODI