Home video TEGETE:TUMUOMBEE MAKAMBO, SIMBA NA YANGA MECHI ZOTE PRESHA

TEGETE:TUMUOMBEE MAKAMBO, SIMBA NA YANGA MECHI ZOTE PRESHA

NYOTA wa zamani wa Yanga, Jerson Tegete amesema kuwa usajili ambao unafanywa ndani ya Yanga kwa sasa upo vizuri hivyo kikubwa ambacho kinatakiwa ni kufuata maneno ya kocha. 


Pia amefurahishwa na tuzo ya kiatu bora kuwa kwa mzawa ambaye ni John Bocco. Kuhusu Heritier Makambo amesema kuwa anapaswa kuombewa kwa kuwa Yanga ipo kwenye presha kubwa ya kusaka ubingwa, amesema kuwa Simba na Yanga ni tofauti na timu nyingine.

 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA NYOTA 7