Home video VIDEO: JUMA ABDUL ATAJA SABABU ZA KUSAINI DTB, ALIKUWA NA OFA TATU

VIDEO: JUMA ABDUL ATAJA SABABU ZA KUSAINI DTB, ALIKUWA NA OFA TATU

JUMA Abdul, nyota mpya wa Klabu ya DTB inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kwa sasa inaitwa Championiship ameweka wazi kuwa alipata ofa za timu tatu za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Biashara United, Polisi Tanzania ila hizo zote zilimuomba asubiri kwanza jambo lililomfanya alipopata ofa kutoka DTB asihofie kusaini kwa kuwa yeye ni mchezaji na uwezo wake upo.

 


SOMA NA HII  VIDEO:YANGA YAWEKEWA DAU NONO KUWAUA WANAIGERIA, SIMBA YAISHSHA TP MAZEMBE