Home video VIDEO: MAJEMBE MAPYA YA YANGA YAMETUA KWA MTINDO HUU LEO

VIDEO: MAJEMBE MAPYA YA YANGA YAMETUA KWA MTINDO HUU LEO

NYOTA wapya wa Yanga kutoka DR Congo Shabani Djuma, Jesus Moloko ambaye anakuja kuchukua nafasi ya Tuisila Kisinda leo alfajiri wamefanikiwa kutua nchini tayari kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo.


Jesus Moloko na Djuma Shabani wao bado hawajatambulishwa huku Makambo yeye akiwa tayari ameshatambulishwa na klabu hiyo. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: FREDWAA ATANGULIA MBELE ZA HAKI