YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kwa msimu ujao wa 2021/22 kinatarajiwa kuwa na maingizo mapya 7 kikosi cha kwanza huku wengine wakibaki ikiwa ni pamoja na Dickson Job ambaye ni beki. Fiston Abdulazack anatajwa kusepa baada ya dili lake kumeguka.