Home video VIDEO: MWAKINYO: NISICHUKULIWE POA, SIPIGANI NA WABEBA MATOFALI

VIDEO: MWAKINYO: NISICHUKULIWE POA, SIPIGANI NA WABEBA MATOFALI

BONDIA anayefanya vizuri Tanzania na nje ya Tanzania, Hassan Mwakinyo amebainisha kwamba uwezo wake ni mkubwa na alipambana kufika hapo alipo kwa kumpiga bondia mwenye nyota kubwa hivyo atapambana kuilinda nembo hiyo kwa kupigana mapambano makubwa na wapinzani wenye hadhi kubwa. Ameomba pia asichukuliwe poa kwa kuwa hapigani na wabeba matofali. 

 

SOMA NA HII  MZEE DALALI:HANSPOPE NI PENGO KUBWA,MANARA HAYUPO SIMBA