Home video VIDEO: PETER BANDA KUIBUKIA SIMBA, MWENYEWE AFUNGUKA

VIDEO: PETER BANDA KUIBUKIA SIMBA, MWENYEWE AFUNGUKA

PETER Banda nyota wa kimataifa wa Malawi anayekipiga ndani ya Big Bullets inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Simba ili awe mbadala wa nyota wa timu ya Simba, Luis Miquissone ambaye yupo kwenye hesabu za kutua Al Ahly.

 

SOMA NA HII  VIDEO:HAJI MANARA ATUPA DONGO LINGINE KWA SIMBA