Home video VIDEO: TAZAMA NAMNA MASTAA WA SIMBA WALIVYOWASILI DAR

VIDEO: TAZAMA NAMNA MASTAA WA SIMBA WALIVYOWASILI DAR

BAADA ya kukamilisha kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/21 nchini Morocco mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara,Simba jana Agosti 28 walirejea Dar kwa ajili ya kuendelea na maandalizi kwa msimu mpya.

 

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA YAMKARIBISHA NUGAZ,WAITWA MASHABIKI UWANJA WA MKAPA