Home video VIDEO”NCHIMBI AGOMEA KUSEPA YANGA,NINACHEZA POPOTE

VIDEO”NCHIMBI AGOMEA KUSEPA YANGA,NINACHEZA POPOTE

MSHAMBULIAJI mzawa ndani ya Yanga, Ditram Nchimbi amesema kuwa kwa sasa hafikirii kuondoka ndani ya kikosi hicho licha ya tetesi kueleza kuwa anaweza kuondoka msimu ujao kutokana na kukosa nafasi kikosi cha kwanza.

 

SOMA NA HII  VIDEO: AZAM, YANGA NA UBABE KWA SIMBA, UBINGWA KWA VIBONDE,NIYONZIMA HESHIMA