Home Uncategorized BAADA YA JANA KUSHUSHA DOZI YA 4G, YANGA KAZINI TENA LEO

BAADA YA JANA KUSHUSHA DOZI YA 4G, YANGA KAZINI TENA LEO


BAADA ya Jana kikosi cha Mabingwa wa Kihistoria Yanga kushusha kichapo cha 4 g mbele ya Mlandege visiwani Zanzibar leo wana kazi nyingine tena visiwani humo.

Mabingwa hao mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo watamenyana na Malindi FC majira ya saa 2:00 usiku.

Jana Yanga ilishinda mchezo wake wa kwanza wa kirafiki visiwani Zanzibar kwa jumla ya mabao 4-1 dhidi ya Mlandege kwenye mchezo wa kirafiki.

SOMA NA HII  TULITENGE SOKA LETU NA SIASA NI HATARI KWA AFYA YA SOKA LETU