Home Uncategorized LUKAKU WA MANCHESTER UNITED KUIBUKIA MILAN

LUKAKU WA MANCHESTER UNITED KUIBUKIA MILAN


ROMELU Lukaku amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United mpaka Iter Milan.

Milan inayoshiriki Serie A imeweka mezani mkwanja wa pauni Milioni 72 ili kukamilisha dili la kumpata nyota huyo.

Mshambuliaji huyo yupo ndani ya Milan na alipokelewa na mashabiki zaidi ya mia, inaelezwa kuwa leo atatambulishwa rasmi.

Kitu cha kwanza ambacho anafanyiwa ni uchunguzi wa afya yake kabla ya mipango kuwekwa wazi.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa akihitajika na Meneja wa Inter Antonie Conte.

SOMA NA HII  MISHAHARA YA MAKOCHA BONGO NOMA, AZAM, SIMBA NA YANGA WANAVUTANA SHATI