Home video VIDEO:NYOTA WAPYA 10 WA YANGA KOCHA ATOA KAULI, KAZI IPO

VIDEO:NYOTA WAPYA 10 WA YANGA KOCHA ATOA KAULI, KAZI IPO


KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amefurahishwa na usajili wa wachezaji ambao wamesajiliwa na timu hiyo iliyoweka kambi nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22.


 Miongoni mwa wachezaji ambao wametua ndani ya Yanga ni pamoja na Heritier Makambo, Djuma Shaban, Jeus Moloko.

 

SOMA NA HII  MAKAMBO AAHIDI MAKUBWA YANGA,KUWAJAZA KAMA KAWAIDA