Home news HERI YA KUMBUKIZI YA KULETWA DUNIANI, ERIC SHIGONGO

HERI YA KUMBUKIZI YA KULETWA DUNIANI, ERIC SHIGONGO


 LEO Agosti 10, 2021 ni siku muhimu  kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Group LTD na Mbunge wa Buchosa,  Eric James Shigongo, ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

 

Wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Group iliyopo Sinza Mori jijini Dar, wanamtakia heri ya kuzaliwa ndugu Eric mpambanaji wa muda wote.

 

 Mchango wako ni mkubwa  kwa wafanyakazi wote wa Global Group na Tanzania kwa jumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

SOMA NA HII  WAKATI ZAIDI YA MAKOCHA 80 WAKIOMBA KAZI...KOCHA MPYA SIMBA NI HUYU HAPA...UONGOZI WATOA TAMKO RASMI...