Home video VIDEO:YANGA KUMSHUSHA KIPA HUYU BONGO

VIDEO:YANGA KUMSHUSHA KIPA HUYU BONGO


INAEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga ipo kwenye hesabu za kumpa dili la miaka miwili kipa mwenye umri wa miaka 26 kwa ajili ya msimu ujao akiwa ni chaguo namba la Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi Kwa sasa Metacha Mnata huenda akasepa ndani ya kikosi hicho huku Faroukh Shikalo yeye bado yupo. 

 

SOMA NA HII  PAMOJA NA KUSAFISHWA NA TFF...MGUNDA KAFUNGUKA HAYA SAKATA LA LESENI YAKE...