Home news WAJUMBE TFF WATEMBELE ENEO LA MRADI TANGA

WAJUMBE TFF WATEMBELE ENEO LA MRADI TANGA


WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania,  (TFF) leo Agosti 6 walipata nafasi ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Michezo Jijini Tanga. 


Eneo ambalo litakua na viwanja mbalimbali vya michezo, hosteli, ofisi, hoteli ya nyota tatu na maduka ya biashara.


SOMA NA HII  HIZI HAPA SALAMU ZA SIMBA KWA YANGA....ZATINGA AVIC TOWN KIBABE....