Home video YANGA; TUTACHUKUA KAGAME, YANGA ITAKUWA TISHIO, WAMKATAA AJIBU

YANGA; TUTACHUKUA KAGAME, YANGA ITAKUWA TISHIO, WAMKATAA AJIBU


SHABIKI wa Yanga, Daud Yanga ameweka wazi kwamba wanaweza kuchukua ubingwa wa Kombe la Kagame ikiwa wataongeza juhudi huku akiamini kwamba wakiongezwa wachezaji wengine wenye uwezo kama Dickson Ambundo wanaweza kupata nguvu kubwa ya kushinda taji hilo.Pia Daud ameweka wazi kuwa usajili wa Ibrahim Ajib hakubaliani nao. Usajili wa Fiston Mayele pembeni kuwepo kwa Tuisila Kisinda na Balama Mapinduzi wataleta utofauti.

 

SOMA NA HII  VIDEO: KARIAKOO DERBI NI KISASI DHIDI YA REKODI, MGOMBEA URAIS TFF ATINGA MAHAKAMANI