Home Habari za michezo MERIDIAN BET VUNA ZAIDI NA AIRTEL MONEY YAZINDULIWA LEO

MERIDIAN BET VUNA ZAIDI NA AIRTEL MONEY YAZINDULIWA LEO

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania hii leo Meridianbet kwa kushirikiana na Airtel Money Tanzania walikuwa na mkutano na waandishi wa habari katika hotel ya Four Points by Sheraton maeneo ya Posta huku lengo kuu likiwa ni kuzindua promosheni yao mpya ya “Meridianbet Vuna Zaidi na Airtel Money” ambapo itaanza hii leo Agosti 1 na kumalizika Septemba 15.

Promosheni hiyo ni kwaajili ya wateja wanaotumia mtandao wa Airtel Money kufanya miamala na kubashiri na Meridianbet na kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Pia Premium na mingine kibao.

Hivyo basi kama huna mtandao wa Airtel unaweza kusajili laini yako na wewe ukashiriki kwenye promosheni hii ambayo itakuwa na zawadi kibao ikiwemo Simu Janja zaidi ya 20, Bodaboda, poamoja na mizunguko ya bure kwa wale ambao hutumia mara kwa mara.

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Meridianbet wanaendelea kutoa ODDS KUBWA sana kwenye mechi zao za kila siku, na pia zina machaguo mengi, ingia na uweze kufanya ubashiri. Pia kuna michezo ya kasino ya mtandaoni ambayo inatolewa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Au piga *149*10# kwa USSD pia unaweza kubashiri bila bando au ukiwa hata na kitochi, yani kila kitu ni rahisi ukiwa na mabingwa wa ubashiri Tanzania nzima Meridianbet.

Dau la kushiriki promosheni hii ni shilingi elfu kumi (10000) ya kitanzania ambapo mteja atatakiwa kuitumia hiyo pesa kufanya ubashiri kwenye mechi au kwenye michezo ya kasino huku kukiwa na bonasi mbalimbali akishinda au pia akiwa hajashinda.

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Kupitia Meneja Malipo wa Meridianbet Bibi Dora Kinyaiya amesema kuwa zawadi zitakuwa zikitolewa kwenye siku maalumu, mfano bonasi na simu zitatolewa kila siku ya Alhamisi na Jumapili, ambapo ni wiki ile inayokuja baada ya droo kuchezeshwa na kwa upande wa bodaboda kwa washindi itatolewa kwa siku mbili ambapo ni tarehe 25 ya mwezi huu na mwisho wa promohseni ndipo bodaboda nyingine itatolewa tarehe 15. 

Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Kujiweka kwenye nfasi kubwa ya kushinda zawadi kibao kama simu aina ya Samsung ambazo zitatolewa kwa washindi, bonasi mbalimbali za kasino na michezo, pamoja na bodaboda unachotakiwa kufanya ni kufanya miamala zaidi na Airtel kwenda Meridianbet ili uwe bingwa mwisho wa promosheni hii.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

SOMA NA HII  MECHI SABA ZAMPA MTU MILIONI 14 MERIDIAN BET