Home kimataifa HUYU HAPA MIKONO 60 WA AFRIKA…GOLIKIPA BORA WA MUDA WOTE AFRIKA…ATAJWA NA...

HUYU HAPA MIKONO 60 WA AFRIKA…GOLIKIPA BORA WA MUDA WOTE AFRIKA…ATAJWA NA IFFHS

HUYU MIKONO 60 WA AFRIKA...GOLIKIPA BORA WA MUDA WOTE AFRIKA...ATAJWA NA IFFHS

Golikipa BORA wa zamani wa Nigeria Vincent Enyeama (40) ametajwa kuwa Golikipa Bora wa Muda Wote wa Afrika na Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Kandanda na Takwimu – IFFHS.

Enyema aliichezea Nigeria katika mechi 101, Kombe la Dunia mara tatu na kushinda AFCON 2013.

SOMA NA HII  WEST HAM UNITED YATAKA KUSAJILI MAZIMA LINGARD