Home kimataifa MOURINHO AVUNJA UKIMYA AWACHANA MAN U…”SIKUPEWA SAPOTI NA UONGOZI…AMEONGEA HAYA

MOURINHO AVUNJA UKIMYA AWACHANA MAN U…”SIKUPEWA SAPOTI NA UONGOZI…AMEONGEA HAYA

MOURINHO AVUNJA UKIMYA AWACHANA MAN U...

Kocha Jose Mourinho anadai alipokuwa mwalimu wa Manchester United hakupewa ushirikiano kama anaoupata Erik ten Hag hivi sasa.

Katika mahojiano na gazeti la Telegraph, Mourinho alilalamikia kutopewa usaidizi mkubwa wa kitaalamu wakati wa enzi zake, ambao anahisi kwasasa Ten Hag ananufaika nao.

SOMA NA HII  JOB AIBUA MADUDU HAYA YANGA...AWACHANA WACHEZAJI WENZAKE...AMEFUNGUKA HAYA