Home video SPIKA NDUGAI ASEMA SIMBA NI MWENDO WA TATUTATU MPAKA JULAI 3

SPIKA NDUGAI ASEMA SIMBA NI MWENDO WA TATUTATU MPAKA JULAI 3

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa kwa sasa kikosi cha Simbe ni mwendo wa tatutatu mpaka Julai 3. Julai 3 unatarajiwa kuchezwa mchezo a watani wa jadi kati ya Simba v Yanga, Uwanja wa Mkapa.

 

SOMA NA HII  SIMBA:TUTACHUKUA TAJI MARA 10 MFULULIZO,KUFUNGWA MBELE YA YANGA YAMETA