Home video SIMBA:TUTACHUKUA TAJI MARA 10 MFULULIZO,KUFUNGWA MBELE YA YANGA YAMETA

SIMBA:TUTACHUKUA TAJI MARA 10 MFULULIZO,KUFUNGWA MBELE YA YANGA YAMETA

SHABIKI wa Simba kutoka Musoma ameweka wazi kuwa kikosi cha Simba kilianza kujiandaa msimu uliopita na walikuwa wanahiaji Ngao ya Jamii ila wakakwama jambo ambalo linawafanya wawekeze nguvu kubwa kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na wanahitaji kutwaa mataji miaka 10 hiyo ndiyo heshima kwao.


 Septemba 25, Simba ilinyooshwa kwa bao 1-0 dhidi ya Yanga na kuwafanya wapoteze Ngao ya Jamii.

 

SOMA NA HII  YANGA; TUTACHUKUA KAGAME, YANGA ITAKUWA TISHIO, WAMKATAA AJIBU