Home video VIDEO: SIMBA YAMKAZIA MZEE MIPILI, WATANGULIA KIGOMA

VIDEO: SIMBA YAMKAZIA MZEE MIPILI, WATANGULIA KIGOMA


SHABIKI wa Simba, mzee wa pasi milioni amesema kuwa mchezo wao wa jana Julai 7 mbele ya KMC wakati wakishinda mabao 2 kwa kuwa ilikuwa ni 7/7 wamepiga jumla ya pasi kama milioni 7 hivi huku wakiridhika kwa ushindi huo.


 Kuhusu kichapo cha bao 1-0 kilichowapata Julai 3 kiliwaumiza lakini watakwenda kushinda mbele katika mchezo wao ujao wa Kigoma, Julai 25 ambao ni wa Kombe la Shirikisho. Kuhusu Mzee Mpili ameweka wazi kwamba hawana tatizo wamemkamata tayari wamemtanguliza mtu Kigoma.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MAKAMBO MAMBO SAFI YANGA, MORRISON AIBUA JAMBO BUNGENI